Mafunzo haya yalikuwa ni kwa Wakuruguenzi, Maafisa Utumishi na Mipango, wahasibu na Wakaguzi wa hesabu za Serikali.
Washiriki walipata kuelewa kuhusiana na mfumo wa Accrual basis IPSAS pamoja na utunzaji na management za mali za taasisi zikiwemo inventories
Published on 2025-04-15 08:14:45
Published by Yussuf Omar